Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 35,0000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336