Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO ZURI KUBWA SANA
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
0773700963
0753 989554
====