Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI JIONI YA LEO KUONA RUKSA BEBA PESA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.