Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 800,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
NYUMBA ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 1 TU KWA MIGUU DK 15
USAFIRI MWINGI BAJAJI 500 DALADALA ZA K/KOO ZIPO. UKISHUKA DK2 UPO NDANI
HIZI NYUMBA ZINA VYUMBA 2 VA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA PUBLIC TOILET KUBWA SANA
JIKO KUBWA SANA LINA MAKABATI
SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
NYUMBA INA FULL AC
VYUMBANI SEBLENI
AIR CONDITIONER
NYUMBA ZIPO 4 KILA NYUMBA IMEJITENGA PEKE YAKE PEKE YAKE
INA SEHEM KUBWA YA KUJIACHIA
SERVICE CHARGE 15000
.
PESA YA DALALI MWEZI MMOJA
NYUMBA ZOTE ZIPO NDANI YA FESI NJOO
NA CROWN
NYUMBA YA KULIPIA SIO YA KUSITA
CONTACT
0742260844
0657384670