Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
SANDAKALAWE HII HAPA MWENYE KUPATA NA APATE
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
BEI KITONGA 200K X 6
ILIPWE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO
SIFAZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME LUKU YAKO MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI NYUMBA HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0716 776247
0754 221168