Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*SOMA MAELEZO VIZULI*
======================
(1).VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
_____________________________
(2).CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*NYUMBA ZIKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*HAPA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, HAKUNA FENSI
________________
*HIZI NYUMBA ZIPO KTK HATUA YA MWISHO YA KUMALIZIWA FINISHING NDOGONDOGO, 1/10/2024..,ITAKUWA TAYARI KUHAMIA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP: 0773700963
*CALL:0753 989554
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________