Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 400K X6
ILIPWE LAKI NNE MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KM2 UKISHUKA UNATEMBEA DK 3 UMEFIKA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET YA NDANI NA NJE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE GARI MOJA PAVING BLOCK ZINAWEKWA ๐ซ
ZIPO APARTMENT MBILI TU NA ZOTE ZINAJITEGEMEA KILA KITU
GHARAMA YA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI
#06777370515