Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT  ZINA PANGISHWA KIMAR TEMBONI(DSM) ๐น๐ฟKILOMETA. 2 KUTOKA LAMI USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 700/=
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
 #CHUMBA KIMOJA MASTER 
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#DINNING ROOM KUBWA 
#PUBLIC TOILET IPO NDANI 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#MAJI YANA FLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO MWENYEWE 
#NYUMA IPO NDANI YA FENSI 
#PARKING SPACE IPO KUBWA
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 250,000/="4"
DALALI KIMARA SUKA LEONARD 
0719-092747
0683-387747
0765-494343



















