Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE FENSI ZIKO MBALI MBALI MOJA IPO WAZI #BEI 400K
Contact 0677445508
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA MAKABATI
#PIBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA