Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTIMENT KALI SANAA ZINAPANGISHWA ,KIMARA TEMBONI
KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 13 KUTEMBEA BODA (1000)
=======
MUUNDO
========
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR SEBULE
JIKO NA PABLIC. TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
=======
ZIPO NYUMBA NNEEE NDANI YA FENSI
KODI 350,000/= X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179