Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000 X6.
STAND ALONE_FOR_RENT_AT_KIMARA TEMBONI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO NZURI KUBWA
CHOO CHA FAMILIA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI TZS 300,000/=×6
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI DAKIKA 15 KWA MIGUU
HAINA FENSI NA PARKING KUBWA YA KUTOSHA KABISA
NA HAPA APARTMENT ZIPO TATU TU NDANI YA FENSI TU
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
Call me
ITAKUA WAZI TAREHE 25/3/2025
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI