Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENT IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 6 KWA MIGUU
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA JIKO CHOO NI PUBLIC TOILET HAKUNA MASTER
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
CONTACT: 0672 673363