Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 260,000X6
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
BAJAJI 700
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI NA NNJE
JIKO LA PEMBENI
MAFENI VYUMBANI NA SEBULENI
IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA MAZURI SANA
PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI SHEAR BILI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI