Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X. ,6.
KIMARA SUKA DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
➖➖➖➖
SOMA KWA MAKINI HAPA...
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA...
NYUMBA NDIO HII SASA NI DAKIKA 3 KUTOKA STAND YA DALADALA KIMARA SUKA
Vyumba viwili vya kulala kimojawapi ni master
Seble Kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo mbili tu
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000\/=
Kodi 400,000X6
➖➖➖➖➖
NB NYUMBA HII UTARUHUSIWA KUINGIA SIKU 3 BAADA YA MTEJA KULIPIA HII NI KWA AJILI YA KUPAKIWA RANGI NA KUFANYA MALEKEBISHO MADOGO MADOGO
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI