Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location Mbezi kwa msuguli km 2 usafiri bajaji na boda
Kodi 500000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni Master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo mita yake
Paving block
Parking space fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128