Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X4/5/6
_______
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
_______
KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 POINTI 5
________
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1500
_______
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI
_________
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA SEBULE JIKO CHOO CHA PABILIKI
________
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI NDIO YA KUSHEA
__________
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
________
SIMU
0712656027