Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTIMENT INAPANGISHWA IPO TEMBONI KAMA UNAELEKEA MBEZI KULIA DK 15 KUTEMBEA BODA 1000/
SIFA ZA NYUMBA
=====
VYUMBA VIWILI VYAKULALA
SEBULE JIKO
NA PABLICK TOILET
HAINA MASTAR
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
=====
KODI 300,000/=X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
HII NYUMBA FENSI ITAJENGWA
=====
CONT
0683234124
0718367179