Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma







APARTIMENT MZURI SANAAAA INAPANGISHWA IPO SUCA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MJINI DK 12 KUTEMBEA BODA BUKU
VYUMBA VIWILI VYAKULALA SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA SANA NA PABLICK TOILET AINA MASTAR INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
IPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
KODI 250,000/= 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
Cont
0683234124
0718367179