Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







YA JUU IMELIPIWA IMEBAKIA YA CHIN NA IMESHAFUNGWA ALUMINIUM TIARI
.
NYUMBA IPO UBUNGO MAKOKA
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKO
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
.
HII NYUMBA GARI LINAFIKA HADI NYUMBANI ILA PARKING HAKUNA
.
UFIKAJI
=======
UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
.
UKITOKEA UBUNGO RIVA SIDE UNAFIKA
.
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
CONTACT