Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Goba, Dar Es Salaam
PAGALE LA VYUMBA 2, TSHS.18 MILIONI,GOBA MPAKANI/TEGETA-A.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.380.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kuna vmVyumba 2 ( Vyote Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________mpg
Grill na Madirisha tayari.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.