Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Gongo La Mboto, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (MASTER KIMOJA), SEBULE, DINING NA JIKO.
IKO KARIBU NA BARABARA, HOSPITALI (KITONKA), BENKI YA (NMB NA CRDB) MAJI YAPO HAPO HAPO (DAWASA).
UKUBWA WA ENEO NI SQM 525.
LOCATION: GONGO LA MBOTO MZAMBARAUNI.
MITA 80 TOKA BARABARANI.
BEI MILIONI 60
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.