Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Iyumbu, Dodoma
NYUMBA / PAGALE NNE ZINAUZWA IYUMBU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 800 sq.m
Zina vyumba viwili KILA MOJA
Sebule, Jiko
Store,Public toilet
Zipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 220,000,000/= ( milioni mia mbili na ishirini tu) ZOTE
.Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"