Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


0714 418 005 📞
APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
PRICE: 450,000
✅️SEBULE KUBWA
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA LENYE KABATI
✅️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✅️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✅️PAVING BLOCKS 🚫
✅️LUKU NA METER YA MAJI VINAJITEGEMEA
✅️MAJI NI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA
✅️IPO NDANI YA FENCE
✅️PARKING KUBWA SANA 🚗
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
Location: KIMARA KOROGWE
DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp