Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️Nyumba Mpya Kabisa na Za kisasa
📍 KIMARA MWISHO
📍 450,000/= *6
_________
___
📌 Kuna yenye dinning na Ambozo hazina, iwahi yenye dinning chapu
• Vyumba 2 vya kulala (Vyote Master )
• Sebule
• Jiko
• Dinning
* Usafi, Maji Taka na Ulinzi ni BURE
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Matank ya maji ya akiba
* Parking na Paving Blocks
* Maua Mazri
• Mazingira TULIVU Na MAZURI
#Umbali wa Km 1.5 tu
#usafiri Bajaji 700 na bodaboda 1,000/=
#Upande wa kushoto kama Unaenda Mbezi
📌 Note: ya Gorofani bei yake ni 500,000/= *6
______
📌 *MUHIMU*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 450,000/=
______
0753-172-516