Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kivule, Dar Es Salaam







📌📌NYUMBA MPYAAA 📌📌
Nyumba inauzwa kivule Sokoni (balabala ya makonde)
👉Bei milion 48👈
Vyumba v3 (VIWILI NI MASTA)
Dining siting
Tailz jipsam
Maji umeme
Jiko kuubwa sanaaa...
NYARAKA NI YA MWANASHERIA
Eneo sqm 400 makadilio
(Fens ipo pande mbili👉 bado upande wa pili na get)
GARI MOJA HAD MJINI
TUPIGIE CM
0672580680
0678588718. WHASP