Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kiwangwa Pipani, Pwani (225 sqm)







Aina
Nyumba
Vyumba
2
Ukubwa
225 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Boma la vyumba viwili linauzwa Kiwangwa
_____
Location kiwanga pipani
_____
Kiwanja ni mikuu 15 kwa 15
_____
Kuna minazi 2 mchungwa 1 na mdimu
_____
Majilani wapo wanaishi
_____
Kunauzwa shilingi 4 milioni
_____
Call and WhatsApp +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania






