Shamba linauzwa Kiwangwa, Pwani (16 acre)


Aina
Shamba
Ukubwa
16 ACRE
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
Shamba la ekari 16 pamoja na nyumba 2 kubwa zinauzwa
_____
Location kiwangwa Bagamoyo
_____
Kuna nyumba 2 kubwa zenye kila kitu ndani na godauni la kuhifadhia mazao
_____
Pia shamba lina mazao kama Mananasi,Miembe,Migomba,Mipapai,Mifenesi,mihogo na mifenesi
______
Shamba ni zuri sana lipo tambalale
______
Barabara ipo hadi shamba
______
Lipo umbali wa kilometa 2 kutoka kiwangwa mjini na ilipo barabara kuu ya lami
______
Vyote kwa pamoja vinauzwa shilingi 100 milioni
______
Wahi sasa ulipate hili shamba utakuja kunishukuru
_____
Call and WhatsApp +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania






