Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam
Nyuma ina vyumba 6 vya kulala vyumba viwili ni masters bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina public toylety ina eneo kubwa la kujenga Nyumba nyingine kama iyo
Nyumba ipo mbagala chamaz kwa mkongo jiji la dar es Salam wilaya ya temeke Nyumba nzuri bei ina uzwa tsh mil 45 tu
Number zangu izo nipigie cm au nicheki whatspp 0759203175. 0652618143. 0763385044