Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
2BEDROOMS (FULLY FURNISHED)
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH SHOPPERS PLAZA
KODI USD 1000$ KWA MWEZI
KWA SIKU TSH 200,000
MALIPO YA KUANZIA MIEZI 3
APART NZURI YA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE
Vyumba viwili vya kulala Masta Ac Sebule dinning Ac Jiko zuri lenye Makabati
Gypsum Tiles aluminium Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
Nje Pavingblocks
FencedApart
0719082300
0692904876
0762652066
PAMOJA NA MALIPO YA DALALI MBEZI BEACH AFRICANA