Nyumba/Apartment inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Ya Kisasa Inapangishwa
Mahali: Goba Center
Bei: 320,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Chumba Master Na Jiko
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Full Ac, Heater, Remote Gate
☑️Reserve Tank & Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#MasterMijengo #DalaliMasterTz