Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha


(180,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#MASTER NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI YA DAWASCO YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KUTOKA MWENDOKASI
BEI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300