Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150𝖪 
Chumba cha kulala 
Sebule 
Choo ndani 
Jiko zuri lenye makabati 
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 8 Kwa mguu toka Morogoro Road 
Ndani ya fence parking IPO 
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 
Ukiipenda nyumba na ukalipia Malipo ya dalali nikodi ya mwezi mmoja
0715949085
0782838336




















