Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #200k
===
Vyumba vya kulala viwili
Sebule
jiko
Choo ndani
Inajitegemea umeme, maji bill yanaflow chooni
==
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
===
Ndani ya fence parking IPO,
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo, au bodaboda 1000
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167