Nyumba/Apartment inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150k
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko la Kisasa
Inajitegemea umeme na maji
Ndani ya fence parking IPO
Kodi 150,000 Kwa mwezi ร 3
Umbali KM 3 toka Morogoro Road Boda boda 1500
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Whatsapp O677370515



















