Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA NI YAKU HAMIA TUU🏃🏃
.
INAPANGISHWA KIMARA STOP OVA
.
KODI NI 150,000X6
.
IPO STOP OVA UMBALI WA KILOMTA( 1)USAFILI UPO MDA WOTE BODABODA 1000
SIFA ZA NYUMBA
================
INA CHUMBA SEBULE NA CHOO NDANI KUNA SEHEMU YA JIKO
IPO NDANIYA FENSI PAKI KUBWA SANA
INA TILES, JIPSAM, DILISHA KIOO
UMEME WAWILI
MAJI DAWASA YAPO MUDA WOTE BOMBA LIPO KWA PEMBENI ANGALIZO KWA GALI YA CHINI NI CHANGAMOTO
CONTACT
0742260844
0657384670