Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐ง๐ข๐ฃ ๐ข๐ฉ๐๐ฅ
BEI NI 300,000/= ร 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING 
#ULINZI UPO 
BEI NI 300,000/= ร 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0715949085
0782838336




















