Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
#CHUMBA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO
💧Location ::KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMETA 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
💧Bei :: 180,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Master
📍Sebule
📍Jiko
📍Umeme Luku yako
📍Fenced kabisa
📍Maji mita yako pia
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia; 0659244543