Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Kodi 280,000 × 6
Ni chumba master
Sebule kubwa
jiko zuri
Unawekewa na A/C bure kabaisa
Maji yanaflow na unajitegemea
Luku unajitegemea
Kutoka Morogoro Road ni km 1.5
Bodaboda 1000 mpaka mlangoni
Parking ipo
Ndani ya fensi
Gharama ya kuona Nyumba 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
##0655256419