Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 3 MOJA NDIO IPO WAZI NIMESHUSHA BEI 500,000/= X6 TUCHANGAMKE
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000/= KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM & DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.