Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA KABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
NA KILA MTU ANA TANG LA LIZEVU
#PARKING
#ULINZI UPO
BEI NI 230,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI MK 1.5 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO
USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA