Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 180000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
# SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA CHA NDANI
#JIKO
#LUKU YAKO MAJI INAJITEGEMEA
BEI 180000/= X 6 lAKI MOJA NA THEMANINI KODI MIEZI 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Itakuwa wazi TAREHE 10 kuona kulipia ruksa endapo mpangaji akiwepo
CONTACT
0742260844
0657384670