Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISHWA
KIMARA MWISHO KILOMETA1.5
KUTOKA BARABARA YA LAMI
๐USAFIRI UPO MWINGI WA
BAJAJI DALADALA TZS 500
BODA BODA ELFU 1000 /=
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#KIBALAZA CHAKO CHAKUPIKIA
#MAJI YANA FLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKO MNASHEA
#MAJI DAWASA MITER YAKO
#MAZINGILA MAZURI SANA MNO
#NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
#PARKING SPACE AKUNA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TZS 150,000/=X"4"
CONTACT US :#0655256419