Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#AIR CONDITION
#GARDEN NZURI INATENGENEZWA
#ULINZI BURE MASAA 24
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI AU UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE NI KARIBU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA