Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
BEI 170,000/=6
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 15
KUTEMBEA KWA MGUU
======
I BARABARA. RAFIKI KWA MAGARI YA AINA YOYOTE
========
SIFA NYUMBA
CHUMBA KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA NA CHOO SAFI
INAJITEGEME MITA YAKE MAJI DAWASA
UMEME SUB MITA
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO USALAMA WA KUTOSHA
IPO NDANI YA FENS PAKI IPO
KUBWA
USAFILI UPO MWINGI
======
BAJAJI JERO 500
BODA BUKU 1000
KWA MIGUU DK 15 TU
=======
CONT
0683234124
0718367179