Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA SUKA DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 29.12.2024 KUONA NA KULIPIYA RUKSA
---------
#VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
----------
SERVICE CHARGE 15,000/=
BEI NI 400,000/= X 6
-----------
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 4
-----------
CONTACT
0716223412
0683597553
FOCUS_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏