Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


BEBA PESA USIJE KUTALII HII SI YA KUKOSA!! โผ๏ธINATAKIWA KODI YA MIEZIX6 APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA KIMARA SUKA CHUMBA CHA KULALA MASTER NA SEBULE NAJIKO UMEME WAWILI NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
๐ฐBEI 150,000 KWA MWEZIX6 NDANI YA FENCE PARKING IPO ๐๐บ๐๏ธ UMBALI KM 1 KUTOKA KITUONI BAJAJI ZIPO 500 UKISHUKA TU SEKUNDE 0 UMEFIKA KUONA NYUMBA ELFU 15 โฌ
๏ธ ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
#0625606710