Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA
IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
PRICE: 250,000 × 6
☑️SEBULE KUBWA
☑️CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
☑️JIKO KUBWA ZURI
☑️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
☑️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
☑️MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
☑️RESERVE TANK
☑️PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
☑️GARDEN NZURI
☑️GOOD ENVIRONMENT 👍
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU (200,000/= )
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
📌NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp