Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KUSHOTO UKITOKEA KIMARA INAFAULISHWA MIEZI 3
BEI LAKI MBILI KWA MWEZI
ILIPWE MIEZI 3
200000X3
NI CHUMBA KIKUBWA SANA MASTA SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA KISTOI
NYUMBA IPO UMBALI WA KILOMITA MOJA NA NUSU
USAFILI UPO MWINGI SANA
BAJAJI 700
BODA BUKU 1000 MUDA WOTE
INAJITEGEME UMEME
MAJI
INA TILES
JIPSAM DILISHA KIOO
KWENDA RUKSA
KULIPA RUKSA
Call
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030