Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
IPO JIRANI NA BARABARA
KODI 300,000 ร 6
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE KUBWA ๐
#ULINZI UPO 24HRS
#GOOD ENVIRONMENT ๐
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA ๐
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp