Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 220 000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
NI APARTMENT NZURI MPYAAA KABISA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
.
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO BAJAJI 700
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
.
.
ZIPO APARTMENT 3 TU KWENYE FENSI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN
.
.
NDAN YA FENSI PARKING SPACE IPO ENDAPO UNA GARI
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI SILAA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030